Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #13,681
Wasiwe wameumia sana tu hawa jamaa
Na hawa jamaa wanapiga kiatu, mpaka Cristiano anamuhesabia refa kwa vidole haha.
Wasiwe wameumia sana tu hawa jamaa
Hahahahhahahahahahhaha.....naona ni mwendo wakupigana viatu sa hvNa hawa jamaa wanapiga kiatu, mpaka Cristiano anamuhesabia refa kwa vidole haha.
Salamander embu toa tathimini ya second half. Naona kama jamaa(gijon) walibadilika sana.
Nimeridhika na kiwango cha mechi ya leo..makosa madgo mdgo yakukosa umakini nakutopitisha mpira katika njia zake kwa wakat muafaka naimani yatarekebishwa...
Ni kwel kabisa...yule jesse anacheza kama yule chalii wa mancity..sterling..yaan mbio ambazo hazina matunda..yule atolewe kwa mkopo...yule lucas apewe nafasi zaid kuliko jesseTall pale kuna watu watakalia bench mpika litawazoea. Mfano Jese ni kwa vile hatuna striker mwingine tu na James anatakiwa abadilike la sivyo watu watamlaumu Zizou, maana siku Casemiro akiingia badala ya Isco sijui kama atapata namba tena.