Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #13,461
Sana jamaa ana mapafu ya mbwa,nguvu anaongeza mashambuliza hakika tuna hazina
Yaani huyu jamaa anacheza RB lakini ni striker wa ziada man
Sana jamaa ana mapafu ya mbwa,nguvu anaongeza mashambuliza hakika tuna hazina
Namuona modric na marcelo pia
Sio Alves tu Thiago Silva Marcelo,Mondric,Ramos wote hawakustahili kuwepo while Alaba,Godin,Boateng,Chielini,Vidal au BasquetKwanin wamemuingiza alves au UCL imembeba,naona kadrop sana