Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bale: "I have the same freedom with Zidane that I did with Benitez. I'm very happy."
 
12507302_1051646201554930_899518057178440894_n.jpg
 
Upo sahihi mkuu. Matokeo ya jana hata Rafael angeyapata. Kilichoongezeka hapo ni game spirit., mashabiki kuongezeka uwanjani na mijadala kwenye social media. Madrid ni ile ile.

Bahati nzuri tuna games za kawaida tu hii January. Itatupa muda wa kukaa kwenye rhythm. Ila lile timu kwa sasa lina mapungufu ya hatari.
 
Fabio Cannavaro: "Zidane? The players better be careful or he'll try to headbutt them."

CYUwVKSWkAEg7g0.jpg
 
Sure, we still would hammered Depor, but watching Real Madrid win under great Zinedine Zidane as manager is incredible. Anyway, I just want to see that forward line in one more tough match. Wasiwasi wangu mkubwa ni pale wanaposimama wakina Pepe, kama kuna kitu kitamwangusha Zidane, ni beki

Defence nadhani tunaionea kiasi. Wale jamaa wako protected na Modric na Kroos ambao ni offensive minded na wanachezeshwa positions ambazo sio zao. So, defence iko exposed sana.

Shida ya Madrid ni BBC. Benzema yuko sawa, anafunga na anaweza kucheza mpira. Bale control mbovu kiasi, ila bado energetic, anakaba, yuko kitimu. Cristiano ndio weak link ya Madrid. Uwezo umefika mwisho, jamaa hana uwezo wa kumtoka beki yeyote sasa bila mbio, ball control 0, bitchy attitude, predictable, you name it. Ila ndio Perez kaamua lazima jamaa acheze.

It's high time Perez left Madrid. He's a good president for Madrid, just terrible with his desires. Ana nia ya kuipeleka Madrid mbali zaidi, ila ndio anaharibu zaidi.
 
You nailed it. Cr7 kaisha Ni muda aondoke au akubali kuanza kupumzishwa. Kroos na Modric sio holding Mids wazuri na hili limeicost timu na litazidi kuicost RM kwenye games ngumu.

Ila nimependa approach ya new coach Zidane wachezaji wote wanajituma wote wanatrack down mpira back and forth na Carvajal anaanza huku James akiingia kama Sub. Tupate kombe hata moja kama itawezekana
 
Defence nadhani tunaionea kiasi. Wale jamaa wako protected na Modric na Kroos ambao ni offensive minded na wanachezeshwa positions ambazo sio zao. So, defence iko exposed sana.

Shida ya Madrid ni BBC. Benzema yuko sawa, anafunga na anaweza kucheza mpira. Bale control mbovu kiasi, ila bado energetic, anakaba, yuko kitimu. Cristiano ndio weak link ya Madrid. Uwezo umefika mwisho, jamaa hana uwezo wa kumtoka beki yeyote sasa bila mbio, ball control 0, bitchy attitude, predictable, you name it. Ila ndio Perez kaamua lazima jamaa acheze.

It's high time Perez left Madrid. He's a good president for Madrid, just terrible with his desires. Ana nia ya kuipeleka Madrid mbali zaidi, ila ndio anaharibu zaidi.

Kweli unaziona game za Real vizuri. Japo Modric ni mashine lakini nimeona baadhi ya magoli yanaanzia kwake. I don't know, may be it's a time for Casemiro to play with one of them
 
JAMANI, nasikia Game Theory yupo huku na ID nyingine, huyu ndiye muanzishaji wa thread ya Arsenal ma ndiye wa kwanza kuanzisha thread ya timu humu Jf, kwa timu za ulaya! Hongera zake kwa kuwa na such a visionary eye, ombi langu, NAOMBA ATUPE PASSWORD YA ARSENAL FC SPEACIAL THREAD. Tunahitaji kui-update wana Arsenal ila hatuna password na Game Theory haonekani! Kama upo huku kwa ID nyingine, tafadhari tupatie password huko Pm. Waweza tumia hata account yangu kunitumia!
Asante!!
 
Aisee!!! Hata fans wa timu nyingine humu JF wanalalamika pia kuhusu threads za timu zao hazijafanyiwa updates kwa muda mrefu. Inawezakana mwanzilishi amekufa, hatumii JF tena au alisahau kama watu wako serious na football.
Labda mjaribu kuwasiliana na manejimenti ya Jamii Forums, mimi nina uhakika moderators wanaweza kufanya kitu flani kizuri. Vile vile, threads kama hizi za makundi ni vizuri ziwe na holders zaidi ya mmoja kwasababu kitu chochote kikitokea kwa mwingine watu wa kuendeleza wapo.

Good lucky katika kuendeleza michezo.
 
Asante!
Napenda sana kazi unayoifanya ktk thread ya Madrid, iko very up to date, yaani homepage umeiweka current kabisa! HONGERA SANA.
Ngoja tujaribu kuwafahamisha management kuhusu ili wazo lako!
 
Pepe: "Madrid has taught me many values."

-"Hopefully at the end of the season we give joy to the fans because they're incredible."

-"I am very happy with my teammates and with the fans. 300 matches with Madrid. It is an important day."
 
Back
Top Bottom