Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #13,481
Training | Benzema
Fact mkuu ujawa Shabiki maandazi mbaka kibaya unasema kizuriBahati nzuri tuna games za kawaida tu hii January. Itatupa muda wa kukaa kwenye rhythm. Ila lile timu kwa sasa lina mapungufu ya hatari.
Salute mkuu bale na Ronaldo ndio ubovu wa Madrid pia kutokua na kiungo mkabaji wa asiliDefence nadhani tunaionea kiasi. Wale jamaa wako protected na Modric na Kroos ambao ni offensive minded na wanachezeshwa positions ambazo sio zao. So, defence iko exposed sana.
Shida ya Madrid ni BBC. Benzema yuko sawa, anafunga na anaweza kucheza mpira. Bale control mbovu kiasi, ila bado energetic, anakaba, yuko kitimu. Cristiano ndio weak link ya Madrid. Uwezo umefika mwisho, jamaa hana uwezo wa kumtoka beki yeyote sasa bila mbio, ball control 0, bitchy attitude, predictable, you name it. Ila ndio Perez kaamua lazima jamaa acheze.
It's high time Perez left Madrid. He's a good president for Madrid, just terrible with his desires. Ana nia ya kuipeleka Madrid mbali zaidi, ila ndio anaharibu zaidi.
Salute mkuu bale na Ronaldo ndio ubovu wa Madrid pia kutokua na kiungo mkabaji wa asili