Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Mkuu Salamander
Karibu tena. Sijui ulikuwa kwenye campaign za ccm au ulipotelea wapi..
wazee tuacheni utani game la jana binafsi nilikereka sana,yaan PSG wanatupelekea moto nakututawala kama vile siyo nyumbani vile...afu mjomba ronaldo nae anazingua sana hakyanani...yeye ananyoonya mikono tu yakulaumu halayu akipewa pass hakuna anachofanya cha maana...hakyanani jana hata jezi nliona nzito mwilini...