Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #11,561
Players who've been injured in last 30 days: Keylor; Carvajal, Ramos, Pepe, Arbeloa; Danilo, Kovacic, Modric, Marcelo; James, Bale, Benzema.
Naanza kuuona mwisho wa Cristiano pale Real Madrid, maana achezi mpira kabisa ye saa zote ka-panick tu. Na wale wendawazimu wa Bernabeu hawawezi kumvumilia tena, subiri utasikia boooo next game. Mechi ya PSG hainiumizi sana kichwa, najua tunaweza kuwa na beaufull game than that. PSG walicheza sana mpira wakawa na possession 58% lakini hawakuweza kupanga mashambulizi au beki zetu zilifanya kazi nzuri. PSG had only 3 shots on target on the entire 90 minutes, while we had about 13 shots.
What you say ni kwel kabisa mkuu...yule lazima azomewe kidgo na me huku nje ntakuwa namzomea tu,maana anapanick tu muda wote,akipewa pass hafanyi jambo ambalo utasema katumia busara yakiuchezaji,zaid anacheza kama vile kalazimishwa...huyu nikumzomea kudadeq maana anapoteza move za bure nakutupa hasira...binafs nina hasira mama angu...unajua kule nyuma wala me sina wasiwas nako kabisa,kuanzia navas anafanya mambo...huku mbele sasa
Real Madrid will start looking for a striker in January if this case of blackmailing (Valbuena) ends bad for Benzema.
He could be jailed for 5 Years! [@elpartido]
Duuh mbona kazi hiyo na hata tukimpata nadhani atakuwa wa la liga tu UEFA hatocheza sidhani kama madrid watanunua striker ambaye hachezi UEFA
@elpartido ni media, wao wameongea kutokana na either source au mitazamo yao, Kesi ya Benzi hata mahakamani haijafika na bado yupo kwenye squad. Ni bado mapema mno.
All in all nikuomba tu asipatikane na kesi ya kujibu maana polisi wakijitosheleza na maelezo ndo ishu inapelekwa mahakamani