Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #11,501
Hakuna hiko kitufe mkuu...hata me mwanzo nlifikir ni PC...nkatumia simu nako hivyo hivyo...hawa jamaa sijui vp maana walianza nakutunyima notification kwenye simu sa hv wameondoa like kila mahali
Nafikiri walipagawa na siasa, bora sasa tuishi maisha yetu ya kawaida tu.