everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hahaha. Najua Madrid ni club ya dunia. Hata usiwaze.
Tatizo letu halipo kwenye magoli. City walikula 4 pale, na tungekuwa serious zingeongezeka. Magoli yatakuja tu, na yakianza ni balaa. Tuna Cristiano, Benzema, Isco, James, Modric, Marcelo, Ramos, wote hao wana uwezo wa kufunga. Tunahitaji muda kidoogo kupata rhythm, then it's game on. So far mpaka naenda kulala jana, hakuna team yoyote kwenye liga ilikuwa na goli zaidi ya 1.
Vipi Benzema mnamuachia aende kwa Wenger?