Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
The Benzo is parked.
..ulisomea wapi ukocha/una vyeti.? au ni fundi tu wa street..no wonder tanzania kila mtu kocha,tatizo team chachee...
Ha ha haaaaahaaa haaaaahaaa umepanic na bado mtani ndio ukubwa huo
Maskini Benitez unawafanya watu wakose aman
Vizuri sana bado tuko kwenye interview. ...unafikiri nini kifanyike ili timu yako iweze kuwa kwenye uwezo mzuri wa kupachika mabao maana toka preseason ushindi umekuwa wa kumulika na tochi.
N.B usijiulize huyu vipi ananiuliza maswali mengi Mbona Yale Yale kama ya timu yake,loh! Real Madrid ni timu ya dunia buana!!!(In Madridista's voice).