Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Connection naona inaleta pozi, picha baadae ama kesho.
Jamaa analeta mambo ya kifala, eti anaomba Real Madrid wasimuuze bei ghali, na yuko tayari kuchukua 6m kwenye timu yoyote kuliko 7m anazo offer Perez.
watakaotoa 50m na si chini ya hapo, wapewe mzigo wao. RMadridinfo wame-post salary net figure ya Madrid, nadhani ni fair kwa kiwango anachopata sasa, much better what FloPe is offering him.
Naona ma 3 points ya Llull. Namuona Ibaka alikuwepo au macho yangu tu.
Tujikumbushe chenga iliyomstaafisha kapteni...
check the link https://www.facebook.com/Rm.is.my.life.110/videos/vb.189024791144466/904090309637907/?type=2&theater