Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Latest English reports suggest that Liverpool are ready to offer €21m for Real's Asier Illaramendi.
 
Mr. & Mrs. Varane

10013858_1022723471085746_1414843217584125759_n.jpg
 
Gareth Bale wants to play behind the striker because he knows it is a position that benefits him.

He has scored five goals in six matches during Wales' qualifying campaign for Euro 2016 at this position. [MARCA]
 
Marca | Liverpool have offered Real €22m for Illaramendi.

- If Benitez gives the Green Light, Real will sell him.
 
Hahaha najua humkubali kinoma Illarra, but 22m is ridiculous compared to what we paid to get him, + I still think he has something to offer.

I know he can play good, lakini sio Real tena kwenye msimu huu. Hii season tukikosa kombe Perez atabeba wachezaji wake wote andoke nao
 
Hahaha najua humkubali kinoma Illarra, but 22m is ridiculous compared to what we paid to get him, + I still think he has something to offer.

Tena sio yeye tu, na Jesé vilevile anatakiwa apeleke mbio zake Italy. Nimeona jana eti anajifanya kaanza mazoezi individual, kasahau kwamba alikuwa analia atolewe kwa mkopo.
 
Haha mi pale aondoke Arbeloa tu, hao wengine Sina noma nao.
 
Man mi nilipata hasira na hawa watu ile away game vs Bilbao. Walikuwa wanahitajika sana siku ile. Siku ile ndio wangeonyesha umuhimu wao wa kuwa kwenye squad, lakini ndio wakawa the reason we lost the game...Lakini hadithi iliyokuwepo sasa eti wabaki ili waonyeshe uwezo wao. Man, not this season. Tumejeruhiwa man, huu sio msimu wa kujaribu watu man.
 
Hahaha I feel your pain bro, ila chill. Hao game zao zitakuwa Copa del Rey kule, besides, Carlo pia alikuwa sababu ya wao kutocheza vizuri. We'll be alright.
 
MARCA | The transfer of Illarra to Liverpool will happen. The club is now just waiting for Benítez' approval.
 
James Rodríguez, Made a key pass more often (every 29.7 mins) than any other player to start a La Liga match last season [
WhoScored.com]
 
Hahaha I feel your pain bro, ila chill. Hao game zao zitakuwa Copa del Rey kule, besides, Carlo pia alikuwa sababu ya wao kutocheza vizuri. We'll be alright.

MARCA wanasema anauzwa, also better for him, in Liverpool anaweza kuwa kwenye first IX kule.
 
Back
Top Bottom