Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Perez anaona noma kutoa 70€m+ kwa mtu anayemaliza mkataba wake Msimu ujao, ndio hiyo kusita sita unayoiona hapo, ila kuna taarifa nimeona kuwa Barca na wao wameingia kati, wanamtaka!!Inshu ya Rodri binafsi itaniuma sana tusipo msajili maana pale hatuna viungo kama Rodri
Barcelona haiwezi ku win battle ya kugombania mchezaji na Madrid kama kigezo kitakuwa ni pesa na demand ya Club kwa huyo mchezaji.Perez anaona noma kutoa 70€m+ kwa mtu anayemaliza mkataba wake Msimu ujao, ndio hiyo kusita sita unayoiona hapo, ila kuna taarifa nimeona kuwa Barca na wao wameingia kati, wanamtaka!!
City wamefanya kusudi kudelay wakitegemea club zingine zitajitokeza na wamefanikiwa. Kwa dau waliloweka ni kubwa ukizingatia umri wa Rodri hizo injury za mara kwa mara pamoja na muda wa mkataba wake ndiyomaana Perez nae akawa anadelay.Perez anaona noma kutoa 70€m+ kwa mtu anayemaliza mkataba wake Msimu ujao, ndio hiyo kusita sita unayoiona hapo, ila kuna taarifa nimeona kuwa Barca na wao wameingia kati, wanamtaka!!
Nimeoma sehemu kuwa Rodri kaichagua Barcelona na kuikataa Madrid.City wamefanya kusudi kudelay wakitegemea club zingine zitajitokeza na wamefanikiwa. Kwa dau waliloweka ni kubwa ukizingatia umri wa Rodri hizo injury za mara kwa mara pamoja na muda wa mkataba wake ndiyomaana Perez nae akawa anadelay.
Rodri kuruhusu maongezi na Barca bila shaka ni katika kuongeza presha kwa Madrid ili kukamilisha dili mapema.
Huenda Mourinho nae hajakuwa interested na Rodri. Kama atahitajika Barca hana hela ya kugombania mchezaji na Madrid.
Udate: Barca wameweka €45M tu ila City wanataka zaidi, bado Madrid kama wanamtaka hakuna cha kuzuia dili.
Nimeshangaa hilo dau, maana City walitaka €70m, sasa jamaa walichoweka ndio hicho!! Kama City wakipokea hiyo offer ndio kitakuwa kituko kingine , acha tuone mchezo unavyoenda.City wamefanya kusudi kudelay wakitegemea club zingine zitajitokeza na wamefanikiwa. Kwa dau waliloweka ni kubwa ukizingatia umri wa Rodri hizo injury za mara kwa mara pamoja na muda wa mkataba wake ndiyomaana Perez nae akawa anadelay.
Rodri kuruhusu maongezi na Barca bila shaka ni katika kuongeza presha kwa Madrid ili kukamilisha dili mapema.
Huenda Mourinho nae hajakuwa interested na Rodri. Kama atahitajika Barca hana hela ya kugombania mchezaji na Madrid.
Udate: Barca wameweka €45M tu ila City wanataka zaidi, bado Madrid kama wanamtaka hakuna cha kuzuia dili.
Inshu ya Rodri binafsi itaniuma sana tusipo msajili maana pale hatuna viungo kama Rodri
Huyu huenda ameona Mardid hawana utayari nae ndiyomaana ameamua kubadilisha maamuzi au aliamua kuitumia Madrid ili kuwavutia Barca.Nimeoma sehemu kuwa Rodri kaichagua Barcelona na kuikataa Madrid.
Muache abakie huko afu tukutane kwenye El Classico.View attachment 3645104
Ngoja tuone mwisho wake.Nimeshangaa hilo dau, maana City walitaka €70m, sasa jamaa walichoweka ndio hicho!! Kama City wakipokea hiyo offer ndio kitakuwa kituko kingine , acha tuone mchezo unavyoenda.
Naungana na wewe.Rodri ni overrated sana
Naskia Pep alisaidia ku push hilo dili kwa kumshawishi Rodri aichague Barcelona.Huyu huenda ameona Mardid hawana utayari nae ndiyomaana ameamua kubadilisha maamuzi au aliamua kuitumia Madrid ili kuwavutia Barca.
Anakimbia kugombania namba anataka pale ambapo anaingia Kwenye kikosi Moja Kwa MojaHuyu huenda ameona Mardid hawana utayari nae ndiyomaana ameamua kubadilisha maamuzi au aliamua kuitumia Madrid ili kuwavutia Barca.
Hapo madrid nani wa kumueka Rodri nje?Anakimbia kugombania namba anataka pale ambapo anaingia Kwenye kikosi Moja Kwa Moja
Wewe unaangalia jina, Je Kwa umri wake na majeraha anayopitia anaweza kutunza kiwango chake akawa na mwendelezo mzuri mfululizo?Hapo madrid nani wa kumueka Rodri nje?
Unachekesha sana we jamaa.
Acha utani jamaa angu pale madrid wale viungo wenu kina Tchouameni na Camavinga sio wa kumuweka Rodri nje au eti Rodri agombanie nao namba.Wewe unaangalia jina, Je Kwa umri wake na majeraha anayopitia anaweza kutunza kiwango chake akawa na mwendelezo mzuri mfululizo?
Mpaka hapo haujagundua kwamba tupo frequency tofauti?Acha utani jamaa angu pale madrid wale viungo wenu kina Tchouameni na Camavinga sio wa kumuweka Rodri nje au eti Rodri agombanie nao namba.
Na suala la umri pia uongo tu mbona mmemsajili Bernado Silva miaka 31 wakati Rodri 30?
Na aende tu.Naskia Pep alisaidia ku push hilo dili kwa kumshawishi Rodri aichague Barcelona.
Rodri asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara ingekuwa vyema sana ila yule jamaa ni pancha mno, umri na dau waliloweka pia limekua changamoto.Mpaka hapo haujagundua kwamba tupo frequency tofauti?
Hauoni unachokazania wewe na ninachomaanisha Mimi ni vitu viwili tofauti.
Baernado alikua free,Rodri ana mkataba hauoni utofauti hapo?
Ni kweli Real Wana shida ya kiungo mkabaji ila Kwenye project za Mda mrefu target yao ya kwanza hua Kwa vijana wadogo ambao watatoa huduma Kwa muda mrefu na Ikitokea wamekosekana basi hata hao wenye umri wa Rodri ambao wapo Kwenye kiwango kizuri ila tu wawe tayari kucheza sio majeraha ya mara Kwa mara Kwa sababu Wao wanatumiwa Kwenye project ya muda mfupi tu.
Sasa swali Rodri msimu uliopita katoa huduma Gani Kwenye club yake? Hajacheza hata nusu ya mechi za msimu, kajakupona kacheza mechi 7sijui 8 za word cu na bado karudi kufanyiwa tena operation.e
Sasa unataka Perez atoe Hela ndefu Kwa kamari kama hiyo? Carvajal kastaafu hapa juzi tu akiwa bado anahitajika je tatizo lilikua kiwango, umri au majeraha?
Majeraha kwanza Kisha umri, Sasa hata rodri vivyo hivyo, yawezekana ana kiwango kizuri kweli ila vipi akifika akae nje tena msimu mzima Huku kasaini mkataba wa miaka miwili tu?
So Mimi Sina tatizo na ubora wake nitafurahia akija ataongeza upana wa kikosi.
Ila Nina wasiwasi na afya yake, kwahyo Kitu kikubwa backup ya kina Camavinga na tcho isiondoke kwanza.. Kwa sababu afya yake haieleweki inaweza kuchochea majeraha ambayo yatafanya asicheze au acheze bila kutoa kiwango stahili.I
Ndomana nikasema Anaogopa kuanzia benchi.
Itokee Camavinga gari limewaka, Tcho Gari limewaka ni sawa na Rodri akiwa mgonjwa?
Sema natumia nguvu nyingi sana kuelekeza Mwana Barca wengi Wao ni Vilaza Hawa hahahaha.
Ndoivo Blood, Perez aliyakanyaga Kwa Hazard kwahyo lazima awe na wasiwasi kusajili afya mgogoro Kwa Pesa ndefu.Rodri asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara ingekuwa vyema sana ila yule jamaa ni pancha mno, umri na dau waliloweka pia limekua changamoto.
Acha Barcelona wajikanyage, Mara ya mwisho Sijui lini waliuza mchaji Kwa bei hiyo anayouzwa Rodri.Rodri asingekuwa na majeraha ya mara kwa mara ingekuwa vyema sana ila yule jamaa ni pancha mno, umri na dau waliloweka pia limekua changamoto.