Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mababu wawili kuondoka wameacha zogo kwa vijana.
Pale katikati tuna wakati mzito sana kwasasa, kwa style yetu ya uchezaji tunahitaji viungo mafundi haswa, sasa ukiangalia kwa waliopo sasa wote uwezo wao unafanana, ndio maana hata back pass zimekuwa nyingi kweli kweli. Imagine tulikuwa na Toni, Luka na Casemiro tu, na walikuwa wanamiliki dimba vizuri tu, saaa hivi tunacheza na viungo wanne na bado tunazidiwa.
 
Mkuu unapouliza mbape ameleta nini ina maana unasahau kuwa mafanikio ya timu yanaletwa na ushirikiano kwa kila mmoja kutimiza majukumu yake! mbape hawezi kuleta kitu ikiwa yeye anatimiza jukumu lake huku wengne wanachomesha,
ronaldo na benzema walifanikiwa lakini nyuma yao kulikua na watu, saizi hatuna wachezaji wa daraja kubwa ila tunataka mafanikio alete mtu mmoja.
 
Kote huko Mimi nakuelewa ila Kuna sehemu wewe hunielewi hiyo ndio sababu hatuelewani.

Kama muelewa utanielewa twende sawa...

Facts ya kwanza , Hiki ni kikosi kilichoanza kwenye final ya uefa 2023-24, Hapo kroos na nacho wanastaafu, je hapo timu ilitakiwa ifanye usajili eneo gani?

FAct ya pili. Ikiwa msimu wa 2022-23 Real walimaliza ligi nafasi ya pili wakiwa na point 75, walifunga goli 78 na kufungwa 36

Ndio Msimu uliofuata wa 2023-24, Wakawaleta kina Joselu, walimaliza wa kwanza, walifunga goli 87 kufungwa 26 na point 95.

Sasa, Msimu wa 2024-25 wa kina mbappe walimaliza nafasi ya pili walifunga goli 78 wakafungwa 38 point 84.

Na Msimu huu Tena 2025-26 mpaka sasa bado mechi 7 wapo nafasi ya pili wamefinga goli 65 kufungwa 29 na point 70.

Sasa niambie mbappe kaongeza Nini ikiwa idadi ya magoli ipo vile vile haifikii hata msimu aliokuepo Joselu?

Ukiamgalia hicho kikosi hapo na vile walikua wanaocheza hakukua na sababu ya kuingia sokoni kutafuta forward jina kubwa kama mbappe.

Ilitakiwa eneo la toni kroos hapo ndio pazibwe na mchezaji wa maana.

Hicho ndio namaanisha Mimi, Mbappe sio mchezaji mbaya Wala wa kawaida ila kiufundi huwezi kua mbappe na vin timu Moja mzee, nitasema Tena na Tena na Tena.
 

Attachments

  • Screenshot_20260420-195017.png
    673.7 KB · Views: 23
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaone. Aibu kweli

Uchukue ubingwa forward mbappe?

Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
 
Yani nyie kenge hamna tumu

Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie
 
wale vijana wa ovyo wanaojiita mashabiki wa Real Madrid amabao walimtukana sana Carlo wakisema anawachelewesha, hivi sana wamehamiza matusi kwa Mbappe na wengine kwa vini.
 

wewe jamaa ni mzima kweli? yani unafikiri Vitinha unaenda tu na buku 10 yako kumchukua? Na unasema timu inakosa world class kiungo mkabaji, je vitinha ni kiungo mkabaji?
 

Facts.
 
wale vijana wa ovyo wanaojiita mashabiki wa Real Madrid amabao walimtukana sana Carlo wakisema anawachelewesha, hivi sana wamehamiza matusi kwa Mbappe na wengine kwa vini.

Watu wengi walijua Mbappe na Vini hawawezi cheza pamoja hata kabla ya ujio wa Mbappe.

Timu ilihitaji world-class mids to replace Modric, Kroos, and Case sio hawa brainless Camavinga na Tcho wasio na soka IQ hata punje. Hawa ni level ya 2nd division huko.

The writing was on the wall; everyone and their grandma saw it except Perez.
 
Hizi tetesi za Mourinho kurudi sijui zitaishaje.

Binafsi Nina wasi wasi akipewa timu yule baba itabidi tuvumilie Tena miaka minne kupata Uefa.

vijana wanaojiita mashabiki wa Madrid wengi wao wanashabikia hii move, nilichogundua ni kuwa washabiki wengi wa football uwelewa wao wa game ni mdogo sana, wanapelekwa zaidi na mihemko na mahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…