Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT : tumetengeneza nafasi ila hatujazitumia,uchoyo hawa vijana wa mbele waache..beki hapa nyuma hazijiamini kabisa na hapa kati tumezidiwa kabisa.

Hapa next half nikujituma zaidi ya 100%
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yamepigwaaaaaaaaa yamepigwaaaaaaaaa tena kwao
Na bado kenge nyie nawachukia mno yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge tena.
 
Back
Top Bottom