Brahim ni mkali sana wa kutafuta penalty, ni kama alivyokuwa Lucas Vazquez, yaani wanakuwa na vimtego vidogo tu unajikuta unamgusa watu wanafunika tuta!!