Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kenge nyie safi sana mmepigwa nawachukia mno. Naichukia Real Madrid akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie mnataka ushindi mnamleta Kendrick 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kasongo tumekupasua, ila naomba radhi kwa kumtusi Tchouameni jamaa kadisplay umadridista ule wa zama za akina ramos
 
Leo vijana wamepambana sana,tutarudi msimu ujao tukiwa imara zaidi,hala madrid
Jamaa wanaweza kucheza lakini inaonekana huyu Babu huwa anawadekeza, ngoja apatikane kocha kichaa, watacheza tu wajinga hawa
 
26 April Copa del rey final

Barcelona vs Real Madrid

11 May Laliga

Barcelona vs Real Madrid

Hizi game zote madrid tunapigwa
Mimi ni fan wa real madrid, ila bado naamini hata hiyo game ya tarehe 11 tunapigwa tena
 
Mimi ni fan wa real madrid, ila bado naamini hata hiyo game ya tarehe 11 tunapigwa tena
Msimu huu nyinyi Madrid tunawapiga kila tutakapocheza.

Iwe home,away, far away au very far away bado tutawapiga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…