Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,024
- 32,624
Una Moyo kijana.Acha kufananisha Real Madrid na Mambo ya kijinga
Hili wengi hawataki kukubali, wanadhani Arsenal anabahatisha, Mimi ni united damu kabisa, Arsenal imeziacha timu nyingi mbali tena mbali sana hasa kiuchezaji na kimikakati. Siku hizi hata kumfunga Arsenal si rahisi, kipindi kile timu zinaweza kukaa nyuma na kuvizia Kwa counter lakini siku hizi ishakuwa ngumu pia.Spot on mkuu. Baadhi ya wapumbavu humu, hawaumii kwa kupoteza game, bali wanaumia kupoteza dhidi ya Arsenal.
Kwao wakisia Arsenal, basi picha ya kwanza inakuja ni Manchester United 8-2 Arsenal. Wanashindwa kukubali zama zimebadilika.
Vunjo🤣🤣karibu Sanya JuuUna Moyo kijana.
Yani kupenda watu wako Ulaya ukiwa Vunjo..
Vunjo🤣🤣karibu Sanya Juu
Kwani mi ndo naamua? Imetokea tu naipenda Real Madrid
Namimi naanza kuamini hili. Naamini mchezaji yoyote wa daraja la juu ukiachana na kuwa na skills sahihi za mpira lazima pia awe na njaa ya mafanikio kwa mechi yoyote anayocheza ataichukulia na maana kubwa. Lakini sasa hawa madogo wana skills tu wanakosa commitment kwenye kazi yao huioni njaa na ari ya utafutaji.wengi wao ni overrated sana, kiuhalisia ni wachezaji wa viwango vya kawaida sana
Nico Williams anawasubiri huko.Leo dhidi ya Club Athletic Bilbao hakika ni mchezo mgumu
Na mbappe Leo hayupo ni kizaa zaaNico Williams anawasubiri huko.
Sure lakini naona mpira leo hawapotezi kizembe wanajituma sanaKama unaangalia hii game utakubaliana na mimi kwa hakika kabisa Babu Carlo atuachie timu yetu,unaangalia huoni timu inatumia mbinu gani katika kushambulia na kuzuia,yaan wachezaji wanajiendea tu.
Last game na arsenal,wachezaji wanasema babu hakuwapa mbinu zozote za mechi zaidi ilikuwa nikuwaambia high intensity and focus....unajua ukwel ni kuwa,ukiwa unatumia nguvu kila wakat katika kila mechi bila njia zakutumia hizo nguvu ni lazima utepete,watu ni kwel hawapotezi mipira,ila je tunachezaje katika kupata matokeo?ni hakuna,ndio maana unaona tunafika kwenye 20 au 18 tunapoteza mipira kizembe tena kwa njia ile ile.Sure lakini naona mpira leo hawapotezi kizembe wanajituma sana
Kama unaangalia hii game utakubaliana na mimi kwa hakika kabisa Babu Carlo atuachie timu yetu,unaangalia huoni timu inatumia mbinu gani katika kushambulia na kuzuia,yaan wachezaji wanajiendea tu.