Mtazampo wangu Tofauti ya vin na Rodrigyo kiuchezaji.
Ni kwamba vini ana kiasi, mwepesi na ana kasi kubwa inayomfanya kua na uwezo wa kukimbia umbali mrefu na mpira.
Ila Rodrigyo ana utulivu na shabaha kumzidi vin.
Yaani Ndani ya box Rodrigyo ni harari kuliko vin