Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Hiyo penati itakiwa kupigwa na kijana wa Malkia ila vini amekurupuka
Kama bundi vileKila unakoweka kambi lazima kuna watu watalia.
Harafu namfatiliaga sana kwenye penalty hua hapigagi huko anapigaga kulia mwa golikipa.Tunaenda extra time sasa, kwa udhamini wa Vinicius Jr
Acha uogaHii game ilikua sare kabisa.... sasa huku tunakoenda ndio hua siangaliagi mpira kabisa..
Sio rahisiWanetu Leo mnatoka 😃😀😀😀
Mi nimeamua kulala nikiamka nitaangalia matokeo.Wanetu Leo mnatoka 😃😀😀😀