Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 987
- 1,821
Mi
Mi namuhofia sana huyu kipa wa AthletiCo.Mbappe Kapachika
Mi namuhofia sana huyu kipa wa AthletiCo.Mbappe Kapachika
+ BahatiUbora wa makipa Vs ubora wa wapigaji
Camavinga katulia sana leo hata Tchoumen nae kidogo alitulia
Rudiger nusu anipasue kichwa.,
[emoji23][emoji23] tulia mkuu...Madrid always knows what they are doing inapofikia hatua hiiRudiger nusu anipasue kichwa.,
Nimeteseka sana hii mechi sasa nitalala vizuri.Rudiger nusu anipasue kichwa.,
Man, nimejikuta ninachoka sana, mtu tuliyemwamini kwa Vazquez amekosa penalty, hii game ilikuwa ya moto sanaMkuu, mimi nimechoka kuangalia hii game kuliko players.
😂Wasenge wanakaba kama vibaka wa keko mpira gani wakiboya hivi timu nzima inakaba
Rudiga mwehu mwehu sanaRudiger nusu anipasue kichwa.,
Hata vin hajawahi kosa penalty akiwa na madrid ila leo kakosa