Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Valverde ametuokoa mara mbili, anajitahidi sana, halafu nindhani ingekuwa poa tukahamishia jiko upande wa Rodrygo, ule upande wa Vini hakuna kitu, Rodrygo na Co wafanye kupika Vini na mwenzie wabaki kutafuta nafasi tu za kufunga,Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup