Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 810
- 1,368
Sasa Kwa nini muelewane! Mi nipo hapa nashabikia ubishi wenu.
Swaumu ngoja tufuturu kwanzaSasa Kwa nini muelewane! Mi nipo hapa nashabikia ubishi wenu.
Nimetoka tu kidogo kurudi nimekuta tunaongoza goli mbili.Leo tupo na Rayol Volcano Game ya moto sana hii
Naam, ila beki yetu nyepesi sana leo sema Lunin yupo vyema langoni leo.Nimetoka tu kidogo kurudi nimekuta tunaongoza goli mbili.
Team inakatika sana leo kiukweli.Naam, ila beki yetu nyepesi sana leo sema Lunin yupo vyema langoni leo.
Mbappe anafanyiwa sub, anaingia camavinga.Mbappé kafanya ubinafsi hapa, tungemaliza hii game sasa hivi.
Ni kweli tuna beki mbovu ila hawa volcano ni wa moto
Dakika za jioni hizi wanatupeleka balaa.. wangekua wanakaza hici kila mechi wangefika mbali
Timu ambayo naonaga haichagui wa kumkazia ni Getafe.Wanatukamia sisi tu hawa umbwa, next week utasikia wamepigwa 3 na Valencia
Hasa kipindi cha pili aiseeHii game tumenyanyasika sana
Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana
Ancelloti ni muoga sana kuwakaripia wachezaji wake., yaani hata Zidane tu anamshinda,Ni mchezaji mzuri ana uthubutu, skills na mwepesi sema ndio hivyo hana adabu na waliomzunguka wanamlea sana.
Ilitakiwa awe chini ya kipara Pep au Mourinho angenyooka huyu.
Ninatamani kesho apate huo utulivu, maana tunahitaji utulivu wa kila kitu kesho, Cholo ninajua atafanya kila analoweza hata ikibidi nje ya uwanja ili washinde,Lakini wajameni angalieni tena goli la Vini jr. Huyu mwamba angekuwa na utulivu kichwani kama ule wa Toni Kroos au Marco Asensio angewatandika kila siku. Tatizo huyu kichwani ana utoto sana