Huyo camavinga Bora united tulimkosa
Carlo asepe tu kwa kweli sasa. Imetosha kwa aliyotufanyia.
Nashaauri mumchukue jasusi ten Hag.aje nani mkuu?
Mbappe ni wa kuteseka tu
Kuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.Mbappe ni wa kuteseka tu
Probably, kama ata-maintain form yakeKuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.
Kuna uwezekano Lamine akachukua Ballon d'or Kabla ya Mbappe na Vin Jr.
nyie takataka nimenilia hela yangu kwa kushindwa kulinda ushindi?
hovyo kabisa
kwa alietizama mechi ya jana, atawezakuona ninachokizungumza kila siku humu, Tchou, Ceballos na Modric walivyo dominant midfield, na kuifanya mechi kuwa nyepesi, baada ya kutoka wao kila kitu kiabadilika, kama mtakumbua mechi ya ligi ya Celta tuliocheza nayo tulikuwa taabani tukiwa na Jude, Valverde na Camavinga katikati.
Real Madrid ina tatizo kubwa kwenye midfield, Jude ni mchongo, Camavinga sio starting material kwa timu kama real Madrid.
Ceballos na Modric should always start kwenye hii timu kwa sasa.
Tchou na Camavinga are brainless hawana akili hata kidogo sijui walifikaje Madrid. I'm glad jana Tchou kazomewa kila akigusa mpira.
Modric bado skills anazo ila hana mbio tena za kucheza fulltime.
Jude anajua mpira kaibeba sana Madrid toka last season.
Madrid inahitaji new creative mids na defenders wawili hao kina Cama na Tchou wauzwe Espanyol huko.
Toka huu msimu uanze kila game ni kama final tunashinda kwa mbinde sana no matter the starting line up, hilo ni tatizo. Na timu zote kubwa hadi Milan iliyojichokea zimetufunga.
Tchou jana aliupiga mwingi, anahitaji kucheza na quality midifield kama aliocheza nao jama na sio vifaru wenziwe.
Jude ameibebaje madrid? kama zile tapins ndio kubeba kwanini tusiseme na Josel nae aliibeba?
Hilo ndio tatizo kuu, inahitaji two creative midfields tena wawili mmoja wa juu na mmoja wa chini.
Hizo hizo tap in counts mbona wengine hawafanyi. Nani alikua La liga best player last season?
Jude, Fede na Rudiger ndo players pekee wanacheza kwa moyo kila game.
Tchou hana msaada wowote jana ni sababu Modric alianza ila Tchou mwenyewe is brainless I can't wait wamuuze 2nd division huko na mwenzake Cama. Madrid ameanza kuzomewa hawamuachi atasepa tu mwenyewe au abadilike sana.
wafanafanya mkuu, Josel alifunga nearly 20 goals last season.
Jude hata position anayocheza haielewi kila wakati yupo ndani ya box dogo anasubiri krosi pumbav sana, jamaa anaifanya timu iwe inazidiwa sana kila akiwemo, hukimbia eneo la midfield akawaache wenziwe wazungukwe na kupigwa mtungo.
Ndo maana Jude alikua Player of the season over Joselu or any other player. Jude anadrop na kupanda kuliko players wote. Angalia the distance he covers per match. Anaenda kwenye box cos muda mwingi Mbappe au Vini hawapo ndani wao wanataka kudrive tu.
Tatizo kubwa la Madrid ni creative mids Tchou na Cama ni level za 2nd division. Haina vision, can't pass, can't defend wao ni kucheza fouls tu na kujiumiza wenyewe. Wale ni kuuza na kutafuta mids wengine kama Kroos na Modric. Camavinga anaanguka kuliko kawaida kila muda yupo chini. Smh