Hizo hizo tap in counts mbona wengine hawafanyi. Nani alikua La liga best player last season?
Jude, Fede na Rudiger ndo players pekee wanacheza kwa moyo kila game.
Tchou hana msaada wowote jana ni sababu Modric alianza ila Tchou mwenyewe is brainless I can't wait wamuuze 2nd division huko na mwenzake Cama. Madrid ameanza kuzomewa hawamuachi atasepa tu mwenyewe au abadilike sana.
wafanafanya mkuu, Josel alifunga nearly 20 goals last season.
Jude hata position anayocheza haielewi kila wakati yupo ndani ya box dogo anasubiri krosi pumbav sana, jamaa anaifanya timu iwe inazidiwa sana kila akiwemo, hukimbia eneo la midfield akawaache wenziwe wazungukwe na kupigwa mtungo.