Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,727
- 6,421
Licha ya kuyumba namna hii kwenye ulinzi Perez ni kama kaziba masikio, maana kwa hali tuliyonayo kiulinzi, hatutoboi
Kwanini tusicheze 4-3-3?mkuu midfield wazuri wakumiliki mpira ni akina nani? Jude na Valverde? huko serious mkuu
Hiyo italazimu Jude atoke aingie ModricKwanini tusicheze 4-3-3?
Hii ya kutupia mipira mbele Mbappe akafunge haiwezi kutulipa.
Kwanini tusicheze 4-3-3?
Hii ya kutupia mipira mbele Mbappe akafunge haiwezi kutulipa.
Hiyo italazimu Jude atoke aingie Modric
Licha ya kuyumba namna hii kwenye ulinzi Perez ni kama kaziba masikio, maana kwa hali tuliyonayo kiulinzi, hatutoboi
Hakuna wa kukaba wote mabishoo 😀😀Ama kweli mpira si pesa
Lile kosi la Madrid thamani yake unanunua vikosi vitatu vya Barcelona😁😁😁😁
Perez anawatumia chawa wake kupiga mkwara I'll asipate mpinzan kwenye uchaguzi ni km ccm kule Tanzania 😄😄Ilikuwa ni swala la muda tu,kupata aibu ya mwaka...sasa ni Perez aamue au uchaguzi watu wamlambe kichwa..huwez kufungwa mara mbili mfululizo tena kwa idadi kubwa ya magoli namna hii..