SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,415
Je, Vini anazo stats kali kumzidi Lautato Martinez?messi hakuwa na stats kali 2010, Mbappe na Kane starts zao za msimu huu ni bora kuliko za messi 2010. Ule ulikuwa ni wizi wa mchana kabisa.
Je, Vini anazo stats kali kumzidi Lautato Martinez?messi hakuwa na stats kali 2010, Mbappe na Kane starts zao za msimu huu ni bora kuliko za messi 2010. Ule ulikuwa ni wizi wa mchana kabisa.
Je, Vini anazo stats kali kumzidi Lautato Martinez?
Haya wazee tumlaumu nani
Anaachaje ikiwa mzee ashakariri lazima aanze.Mbappe kacheza?
Hajakamatwa offside?Anaachaje ikiwa mzee ashakariri lazima aanze.
Ukizeeka akiri zinafanya Kazi kutoka mbele kurudi nyuma badala ya kutoka nyuma kwenda mbele.
Af Milan sio wachovu kama Barcelona.Hajakamatwa offside?