pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,273
- 3,808
Ila tuache utani,Miltao kwenye kuzuia huwa anatuchoma sana.
Hili suala lipo tokea tuanza msimu na sioni Ancelloti alibadilisha hii hali., kwasababu ni muoga wa mabadiliko, team ina shida ya kutengeneza nafasi kwa washambuliaji, viungo wanaocheza huo uwezo hawana., kwasababu Valverde hana hizo skills, Bellingham nae ni mfungaji mzuri ila hana mipango., Modric anaweza ila umri umemtupa mkono, ila ana option ya kumchezesha Arda Güler, huo uwezo anao ila sasa Mzee Ancelloti anaogopa kujaribu kitu kipya.,HT: Tumecheza hovyo,timu utasema haijafanya mazoezi ya pamoja,kila eneo kila mtu anacheza kivyake,watu wanajipigoa cross mradi tu mpira utoke mguuni,tumeshindwa kupangua kabisa ngome za hawa jamaa kwa sababu tunacheza kibinafsi mnooo..
Timu inafanya tunaangalia mechi huku tunatembea kwenye korido bhna..comeback ipigwe
Hili suala lipo tokea tuanza msimu na sioni Ancelloti alibadilisha hii hali., kwasababu ni muoga wa mabadiliko, team ina shida ya kutengeneza nafasi kwa washambuliaji, viungo wanaocheza huo uwezo hawana., kwasababu Valverde hana hizo skills, Bellingham nae ni mfungaji mzuri ila hana mipango., Modric anaweza ila umri umemtupa mkono, ila ana option ya kumchezesha Arda Güler, huo uwezo anao ila sasa Mzee Ancelloti anaogopa kujaribu kitu kipya.,
Anaweza kuanza na Camavinga, ubavu mmoja akampa Modric/Valverde/Ceballos na Mwingine Bellingham., juu ya hao akampa Arda kazi moja tu ya kutengeneza mipango kisha kule mbele aamue kuanza na Vinicius na Mbappe ama Rodrygo, wawili hapo.
Kwenye beki hatuna option zaidi ya wale wawili, ama ampe nafasi Tchouamen acheze na Rudiger., kwasababu Militão bado akili haijakaa sawa.,
Dortmund ni wapuuzi sana kama matahira vile yanacheka cheka tu majinga haya.
Eee mwanangu...dahT
Unaangalia match kwa kuchungulia