Fermin Lopez huyu huyu ambae thamani yake haifiki hata euro m 50?
Kwahyo walowatoa Musiala, witz, Gernacho, Palmer, Diaz , Bellingham Greenwood, Camavinga, Tshuaminen wasemaje?
Au wote hawa hawakutoka academy?
Au walitoka La masia?
mbona yamal unamruka kutika masimulizi yako? na kwa kujalizia tu kuna Pedri, Gavi, Balde