Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Wewe ndio unachekesha mzee hujui maana ya ubora.unachekesha sana mkuu, Halland ana 31 goals kwenye 33 games national team, Lewandoski and nearly 80 goals national team sasa unataka waoneshe ubora gani mwengine mkuu?
Lewandski amecheza mechi ngapi ili kumfika hizo goli 80?
Na Kwenye hizo goli 80 zimeinufaisha nini Poland?
Halaand ana goli 30 sawa ila inakuje anashindwa kuipeleka nchi yake euro ama world cup kwa hizo goli zake?
Ubora Si kufunga goli nyingi ubora ni kuwafunga walio- bora.
Hata kama goli chance ila hua zina thamani.