United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,234
- 6,597
msimu ujao kama Real madrid haitakua na injury ovyo squad yake itakua hatari sana nashindwa kuelewa kwanini vilabu vingi havitaki kujifunza kwa Perez yule mzee anajua Biashara ya mpira haijawahi tokea kwenye hii sayari ile Bernabeu hapana kwa kweli itachukua mda mrefu sana kwa bara la ulaya kupata uwanja kama uleHata sio siasa man, Carlo hawezi kum-risk mtu aliyekaa bench karibia msimu mzima, anahitaji muda ili arudi katika hali yake, angalia hata Militão makosa anayoyafanya., ndio maana hata mwenyewe ameamua asicheze game za Euro ili apate muda mzuri wa kuendelea na program yake, ili msimu ukianza awe fit.
Lunin ni kweli anafungwa magoli yanayofanana, na yeye anahitaji uzoefu, ni golikipa mzuri, anahitaji zaidi kujiongeza namna ya kusoma mchezo basi.