Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ni Ancelloti ameamua kukaa nyuma tu, ila hawa tukiamua kucheza watakula za kutosha, ni ile wasi wasi wa Carlo tu kuwa tukiwaachia nafasi watatufunga, so acha vijana waende vile Mwalimu anataka.
Approach ya mwalimu ipo sahihi. Waache vijana wapige counter attacks. Si unaona mibeki ya Bayern haipandi? Inajua kule mbele kuna vibelenge viwili vya moto. Ila naomba Coman asiingie. Wamuache Sane aendelee kucheza rede zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…