Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Hama hapo kwa shemeji upunguze chuki , dada ako usiku anashindwa kutoa miguno vizuri akichezea ukuniNawachukia sana kenge nyie na kwa bayern hamtoboi
Sisi tunawapenda watu Kama ww Utahama Sana, Buyern wenyew wachumba,Nawachukia sana kenge nyie na kwa bayern hamtoboi
GO TO HELLHama hapo kwa shemeji upunguze chuki , dada ako usiku anashindwa kutoa miguno vizuri akichezea ukuni
Huyo bayern mwenyewe hana furaha kukutana na Real Madrid.Nawachukia sana kenge nyie na kwa bayern hamtoboi
Kwa style hii lazima uichukie Madrid, UCLNawachukia sana kenge nyie na kwa bayern hamtoboi
Burudani tupu aisee.
Jude ni beast wewe huwez mwelewa , Ile mechi na city Madrid alienda completely defensively , na dogo alitaabika Sana...mwanzoni mwa Msimu alikuwa kama striker ila sa hv hayo majukumu kapunguziwa ..ndo mana hata kwenye magoli haonekani sanaNothing Personal, Ila Jamaa ni kilaza, na British Media inatumia nguvu nyingi kuaminisha jamaa ni Best Player wa timu kitu ambacho ni kituko, mbaya zaidi kuna wanojiita mashabiki wa Madrid wemeingia kwenye huo mtego
Atakuja na mashairi yake hapa subiri uoneJude ni beast wewe huwez mwelewa , Ile mechi na city Madrid alienda completely defensively , na dogo alitaabika Sana...mwanzoni mwa Msimu alikuwa kama striker ila sa hv hayo majukumu kapunguziwa ..ndo mana hata kwenye magoli haonekani sana
🗣️ Carlo Ancelotti: “Jude Bellingham has many things I saw in Kaká.”Carlo Mechi aliichelewesha Kwa kumuacha JUDE akizunguka uwanjani bila ya shuhuli yamana alokuwa anafanya, yeye na Vini walitakiwa kuwahi kutolewa mapema sana na hakukua na haja kumtoa rodrygo mapema. Ilisababisha timu izidi kuelemewa.
🗣️ Carlo Ancelotti: “Jude Bellingham has many things I saw in Kaká.”
Huyu Carlo anayesema hivi ni ambaye ameshinda makombe yafuatayo:-
AC MILAN
Serie A: 2003–04
Coppa Italia: 2002–03
Supercoppa Italiana: 2004
UEFA Champions League: 2002–03, 2006–07
UEFA Super Cup: 2003, 2007
FIFA Club World Cup: 2007
CHELSEA
Premier League: 2009–10
FA Cup: 2009–10
FA Community Shield: 2009
PSG
Ligue 1: 2012–13
REAL MADRID
La Liga: 2021–22
Copa del Rey: 2013–14, 2022–23
Supercopa de España: 2021–22
UEFA Champions League: 2013–14, 2021–22
UEFA Super Cup: 2014, 2022
FIFA Club World Cup: 2014, 2022
BAYERN MUNICH
Bundesliga: 2016–17
DFL-Supercup: 2016, 2017
Alafu kuna wewe wa Jamiiforums