Tuna dakika nyingine 45 za kucheza., ni ngumu kweli kweli kucheza low block kama vijana hawana nidhamu., acha tuone kipindi cha pili vijana watarudi vipi.
Ninana Davide akiongea na Militão kipindi cha kwanza, ninadhani waliona namna vijana wanavyopata shida mipira ya juu., huyo Haaland ni mrefu acha kabisa., Nacho kila akiruka anafika mabegani.