Hii timu huenda ni mashabiki wa arsenal ambao wanatafuta pa kuonjea ladha ya uefa ndio wakaamua kuja kujificha humu.Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao
Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Watu wanafanya insults tu, kwani mashabiki wa man u, liverpool walianzaje.Akiwa mtoto Kuna ubaya?
Mashabiki wa arsenal hawa, wametafuta pa kupozea ukame wa kucheza uefa ndio wanakuja humu kujiita mashabiki wa madrid kwa ID zingine.Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.
Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico
Hawa humu wanajikuta madon kwamba vibanda umiza kwao ni kitu cha ajabu.Kwan Kuna shida? Kwa taarifa Yako vibe la kibanda umiza Huwa Lina ladha yake binafsi Nina tv na kingamuzi kinachoonyesha hizo mechi ila wakat wa mechi lazima niwepo kibanda umiza to feel the vibe of the game.
Kipindi kile kwa hakika alipata mbeleni nyingi.Mbeleko zilikua nyng sana zinawaangukia nyie tu.. Leo city kasema kataa matapeliView attachment 2625873
Wewe unongea tu kuna mashabiki wa hiyo timu wengi tu. Mfano mimi ni shabiki wa Barça na hakuna mechi ninayokosa kuitazama ni chache sana huwa zinanipitaMadrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao
Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Wazee wa Copa del reyI'm more sad than angry, it hurts a lot. We will return with more strength. 🤍
HALLA MADRID
Hivi nyie mpira ukishawashinda mnaanza kuwawaza mashabiki wa city tu? hii tabia nimeiona jukwaa la arsenal that's why nasema humu ni kumejaa arsenal fans ambao wamekuja humu kujipoza na ukame wa uefa.Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
Bro una jilinganisha wwna watu wengine.Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao
Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Huko EPL nimechelewa sana kufika before nilikuwa la liga na UEFA sikuwa na acsess na ushabiki wa EPL hadi nilipoijua la liga kupitia channel za satelite. EPL nimeanza kuwa na interest nao kipindi cha CLAUDIO RANIERI akiwa chelsea from date to date nikaanza kuifatilia.Hivi nyie mpira ukishawashinda mnaanza kuwawaza mashabiki wa city tu? hii tabia nimeiona jukwaa la arsenal that's why nasema humu ni kumejaa arsenal fans ambao wamekuja humu kujipoza na ukame wa uefa.
Umemaliza kila kitu mkuu. Binafsi ni mshabiki wa Ac Milan, nlianza kuipenda tangu nikiwa mdogo miaka ile tupo kwenye ubora wetu. Nawaangaliaga sana wanaojifanya mashabiki wa Man city bongo, ni watafuta faraja tuBro una jilinganisha wwna watu wengine.
Back in days miaka ya 1998 kulikuwa na haya madish ya satelite makubwa kulikuwa na chanel nying aseee nilikuwa naifatilia madrid kupitia chanel za uarabuni from those days nimekuwa naifatilia madrid tangu zama izo. Kilichonifanya kuipenda ni kuwa na idadi kubwa ya Brazillian players.
Man city fans ambao wameijua man city alipokuja gurdiolla otherwise wameanza kuijua ni siku za mwisho za Pellegrin.
Man city ile ambayo ilikuwa inachakazwa hata na Middlesbrough 8 kwa 1 ni wachache walioko humu walifanikiwa kuiona.
Siku zote huwa naheshimu nikute kijana mdogo ni die hard fan wa
LIVERPOOL
AC MILLAN
INTER MILAN
ROMA
.
.
.
Na clubs kama izo nikiamini kabisa hizo clubs mtu atakuwa ameziona kwenye peak ya mafanikio tangu zamani.
Eti nikutane na shabiki wa cityzens hapa bongo leo itis obvious huyo anaukame somewhr kwenye club yake sasa anakuja kuupooza kwa city.
Yote tisa kumi jana city alikuwa bora sana tusingewezakufanya chochote.
Tena sana yan walikua wao ndo wao.Kipindi kile kwa hakika alipata mbeleni nyingi.
Sasa huwa mnasema mashabiki wa city ni watoto wa 2000's ...sasa mtoto wa 2000's ulitegemea awe shabiki wa timu gani?Umemaliza kila kitu mkuu. Binafsi ni mshabiki wa Ac Milan, nlianza kuipenda tangu nikiwa mdogo miaka ile tupo kwenye ubora wetu. Nawaangaliaga sana wanaojifanya mashabiki wa Man city bongo, ni watafuta faraja tu
Swali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.Bro una jilinganisha wwna watu wengine.