Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Real Madrid 4-1 Al Hilal
HalaMadrid ¡¡Hala Madrid, hii ni zawadi kwetu sote mashabiki, japo kuna uzito kwenye sehemu yetu ya ulinzi. Hiki kikombe kiwe chachu ya kuamsha Matokeo chanya kuelekea michezo inayofata

Ni vizuri ili team ijiamini tena., sikuweza kufuatilia game yetu., ila ninaamini vijana walicheza vizuri.,Tumepata ushindi, sasa tujipange na game ya wikiendi kabla hatujarejea usiku wa mabingwa iyo wiki ijayo