SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,656
- 10,418
Komaeni na haka ka kombe watani. Ndiko tumaini lenu pekee msimu huu.
Labda kama unajitoa ufahamu., hatupo kwenye mashindano hayo kwa bahati mbaya., kaa kwa kutulia, ulifikia mafanikio haya ndio tuanze kuongea.,Komaeni na haka ka kombe watani. Ndiko tumaini lenu pekee msimu huu.
Màra yenu ya mwisho kucheza haka kakombe ilikua lini?Komaeni na haka ka kombe watani. Ndiko tumaini lenu pekee msimu huu.
Màra yenu ya mwisho kucheza haka kakombe ilikua lini?
Mnisamehe kwa kuwakumbusha habari mbaya. Ila ndio uhalisia. This season, this is all you can have. Don't blow it!Màra yenu ya mwisho kucheza haka kakombe ilikua lini?
Channel gani dstv?Real Madrid XI
Lunin; Carvajal, Alaba, Rudiger, Camavinga; Tchouameni, Kroos, Modric; Vinicius, Valverde, Benzema
Mimi ninaangalia kupitia Canal+ Mkuu.,Channel gani dstv?
okayMimi ninaangalia kupitia Canal+ Mkuu.,