ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,694
1-0 Vini Jr
Siku hizi hatusajiri kabisa nadhani project ya uwanja imelazimu kubana budgetHawa wazee wetu tuwavumilie tuu. Ila sidhani kama watapewa ongezeko la mkataba. Perez anaamini ni wakati sahihi wa kuweka vijana kikosini ili kiendelee kuzoeana
Siku hizi hatusajiri kabisa nadhani project ya uwanja imelazimu kubana budget
Luka bado anatamani kubaki., ila Kroos ndio anaweza kufanya maamuzi akatembea., sio mbaya tukabaki na mmoja wao., atasaidia kuwafundisha hawa vijana wapya.,Hawa wazee wetu tuwavumilie tuu. Ila sidhani kama watapewa ongezeko la mkataba. Perez anaamini ni wakati sahihi wa kuweka vijana kikosini ili kiendelee kuzoeana