Hendsome boy
Member
- Jun 2, 2022
- 50
- 28
View attachment 2252869Vinicius Jr deserved to be number three actually Haaland was deserving to be number two.
kwa hiyo walichotofautiana na lukaku ni kilo mia ila vingine wamelingana.Me sijasema issue ya kulinganishwa na benzema... hata reply yangu hapo juu nimeappreciate kwamba benzema ana msimu bora ila ata kama messi hana msimu mzuri sio mmlinganishe ns mtu wa kilo mia
Kabisa mkuu. Kocha yoyote unatamani kuwa na timu kama hiyo yenye wachezaji wanaoifia timuNiliona Dogo Camavinga alikuwa na mzuka mwingi sana utadhani utadhani ana misimu kadhaa na club kumbe ndio kwanza msimu wa kwanza.,
Tuna bahati sana kupata wachezaji ambao ni mashabiki wa team, hata hupati shida sana kuwaambia wajitume., ndio furaha ya Ancelloti aliyonayo kuifundisha Real Madrid.
Na ndio style ya Madrid miaka yote. Mabeki wa pembeni kupanda mbele kama mawinga. Niambie enzi za Carlos alivyokuwa anakimbia kwa kasi pembeniBrother mbona unataka tuuze wachezaje wengi hivo wakati tumesajili mmoja tu so far (Rudiger).
Ama kuna plans za kusajili wengine.
Timu si itabaki finyu sana. Rotation ya wachezaji haitokuepo.
Halafu inaonekana Mendy unamkubali sana... Mbona sijawahi kumuona amepanda mbele kumsaidia Vini Jr mashambulizi upande ule. Yeye muda wote yuko nyuma tu.
Mbona mwenzie wa right back (Carvajal) huwa anapanda na kushuka anawasaidia kina Varverde, Asensio na Rodrygo.
vingi mno kapitwa mtu wenu wa kilo miakwa hiyo walichotofautiana na lukaku ni kilo mia ila vingine wamelingana.
LoL
Kiukweli sijawahi kumfuatilia, niliwahi kuangalia kama game mbili tu hivi za Monaco, ila nilichokiona kutoka kwake ni mwepesi sana na hapotezi mipira kihivyo, acha aje tuone.,Wazee huyu dogo ni mzuri?View attachment 2253393
Ninachowapendea Madrid ndio hicho. Inawachukua sana mablack. Rais wa Madrid anamkubali sana Vinicius JuniorWazee huyu dogo ni mzuri?View attachment 2253393
Naona waingereza wanaleta jam sana humu, wana hasira sana na Ustaadhi Karim na dogo lake Vini.Huwa sielewi kwa nini huu uzi unakua na mabishano kama vile kijiwe cha boda boda.
Hapo tutakosa ile creativity ya Luka tu, ila kwenye kukaba hao vijana ni hatari na nusu., plus ninaona tutakuwa tunacheza mpira wa kasi sana, labda tu wabadilike.Wakicheza hawa 3 timu haiwezi kukosa udhani maana naona karibu wote wanafanana kwa uchezaji.