Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Walioona kwamba ni offside walijiridhisha vyema zaidi yako! …hili tukio lilivyotokea mpira ulisimama zaidi ya dakika moja ili waamuzi kujiridhisha kuwa ni offside! Wewe angalia tu hiyo pass iliyokwenda kwa Benzema kutoka kwa Fabinho ilitoka katika mazingira gani! Je Fabinho alikusudia kuucheza ule mpira kwenda kwa Benzema? Ile si ilikuwa deflection?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…