Hata kama tunataka kuwabeba hawa jamaa wasishuke daraja, hatuwezi kucheza game mbovu hivi,
Ni kama tunacheza 3 5 2, ila hatusomeki, sioni Lucas Vazquez anacheza upande gani na sehemu gani, yaani kiukweli sielewi elewi., sijui ni nini kinaendelea huko Uwanjani.