Tafuta watu wa umri wako dogo sawa. Los blancos huijuiMimi Man City nakula utumbo nje ndani
Hv walisikia ujumbe wako kweliLeo mnapigwa 5
....timu inategemea bahati Tu mpk mtu mmoja / wawili wawabebeAcha bwanaMadrid ana win mechii,Kwa ushindi mwembamba au draw
Cancelo,Walker ni majuruhi mkuu acha uongo
Wa kwanza na wa pili ni nani?Bado goli moja tuu benzema awe third of all time scorers in UCL
Yale majiniWa kwanza na wa pili ni nani?
Real Madrid akibahatika kuingia fainali ya UEFA champions league, balon d o ni ya Karim Benzema mwaka huu.Wa kwanza CR7
Wa pili la pulga
WA tatu lewandoski
WA nne benz9
Mashabiki mandazi wa barca wakikusikia watakuattack kwa points zao za kijinga.Real Madrid akibahatika kuingia fainali ya UEFA champions league, balon d o ni ya Karim Benzema mwaka huu.