ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Habari nzuri sana hiiHaaland to Real Madrid?
Meanwhile, Real Madrid are working on striking a deal to also land Borussia Dortmund star Erling Haaland.
Habari nzuri sana hiiHaaland to Real Madrid?
Meanwhile, Real Madrid are working on striking a deal to also land Borussia Dortmund star Erling Haaland.
Kuna second legTumepoteza sisi na copa de rey sijui tunashida gani
Kuna second leg
Hili Kombe tuna shida nalo kitambo, mara ya kulibeba ninadhani Ancelotti ndio alikuwa Kocha wetu, mpaka Leo ni chenga.,Tumepoteza sisi na copa de rey sijui tunashida gani
Benzema yupo wapiOur starting XI for today match, Leo tunakipiga dhidi ya Granada
View attachment 2110661
Benzema bado yupo nje kwa majeraha, hapo ninaona Ancelotti anacheza na false 9 wakati ana Jović nje.,Benzema yupo wapi
Granada nao wanatutoa jasho
Hizi team kubwa zinafunguka, hizi team ndogo zinatusumbua kwasababu muda mwingi wanakaa nyuma, na sisi tuna tatizo, Ancelotti sijui ana tatizo ama ni kuamini wachezaji, kila game anaingia na mfumo ule ule na wachezaji wale wale, team kazi hizi za akina Granada, Getafe nk tunatakiwa tuingie na 4-4-2, tunakuwa na watu wengi kati, muda mwingi inatengenezwa mipango tu, jana ndio amejitahid akaanza na Isco,Sijui psg itakuaje
Hizi team kubwa zinafunguka, hizi team ndogo zinatusumbua kwasababu muda mwingi wanakaa nyuma, na sisi tuna tatizo, Ancelotti sijui ana tatizo ama ni kuamini wachezaji, kila game anaingia na mfumo ule ule na wachezaji wale wale, team kazi hizi za akina Granada, Getafe nk tunatakiwa tuingie na 4-4-2, tunakuwa na watu wengi kati, muda mwingi inatengenezwa mipango tu, jana ndio amejitahid akaanza na Isco,
Game dhidi ya team kubwa huwa ni tofauti, kwasababu na wao wanacheza.,
Mimi nme anza kupoteza matumainiSawa mkuu muda ni mwamuzi tuone yajayo