Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Hii game kama tulicheza kipindi cha kwanza kama tulivyocheza cha pili, ingekuwa imeisha mapema sana, shida tuliwapa nafasi Sevilla yakuona na wao wana uwezo wa kushinda,
Courtois kama kawaida Save yake ya mwisho ndio imetupatia ushindi, Militao hajafanikiwa kufunga ila goli zote mbili mipira ilitokea kwake.,
Huu ni ushindi muhimu sana ukizingatia tuna game ngumu zaidi zinazofuata.,
#HalaMadrid