Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Hahaha, hii game ali-bet Nacho man, ule aliofanya sio ukabaji, ule ugonjwa wake wa kujisahau umerudi tenaPerez kauza mechi nyingine tena
Hahaha, hii game ali-bet Nacho man, ule aliofanya sio ukabaji, ule ugonjwa wake wa kujisahau umerudi tenaPerez kauza mechi nyingine tena
Performance ya Vinicius ya game mbili za mwanzo ndio ilimponza, dogo ni mzuri kwenye team inayo acha nafasi, ila hizi team wanaokaba muda wote dogo hawezi kucheza, kwasababu anasubiri apate mpira akimbie, Sasa jamaa muda wote wapo nyuma, hiyo nafasi ya kukimbia ataipata wapi?Carlo kaanza kukariri line up
Ile blunder ni ya Nacho man, sikuona umuhimu wa yeye kukabia juu vile wakati tayari Luka alikuwa anafanya follow ya ule mpira wakati huo Alaba yupo pembeni, Sasa yeye kupanda ilifanya Luka kupunguza speed halafu yeye akapitwa, yaani ulifanyika ujinga wa hali ya juu.Backline ina makosa mengi sana, pia DM wana chomesha goli la pili mtu anatoka na mpira kati kati mpaka ana funga bila kua marked kazi tunayo
Umeanza lini kusema ukweliMkipoteza nyie, bahati mbaya. Ikipoteza Barca, WABOVUUUUUUU!
Poleni watani.
![]()


Kuna kila dalili ya kuwapiga nyingi sana,, tusubiri tu hiyo Jumapili.Hala madrid tunasubiri big game ya wikiendi na watani
Vijana waliupiga mwingi sana, pia kurudi kwa Mendy upande wa kushoto ilisaidia kuwapunguzia beki wetu wa kati mzigo, plus kati kati ya uwanja tulikuwa vizuri,Sikucheki match ila kwa hizi goli 5 kavu seems tumeupiga mwingi 💪 Numbisa tunamiss vi-clip!
Kwa mfano pale alikuwa na uwezo wa kuupata ule mpira akajiungasha ili apate penalty.Huyu Vin Jr mtoto nae ana umama uliojificha...hana maamuzi ya busara hata
Si ndio aiseeKwa mfano pale alikuwa na uwezo wa kuupata ule mpira akajiungasha ili apate penalty.
Hii ya kumsubumbua golikipa ndio nimeipenda zaidi