Ramos yupo psgHumu mbona kimya jamani hakuna jipya kwa timu yetu?
Habari zipo nyingi sana Mkuu, majukumu ya kila be siku yanatufanya mara nyingine kuingia huku mara kwa mara, Leo saa mbili usiku saa za Africa Mashariki tutakuwa tunacheza na Rangers game ya kirafikiHumu mbona kimya jamani hakuna jipya kwa timu yetu?
Pole sana Mkuu, jana sikuingia humu jamvini wakati wa game, ila game ilikuwa live you tube, hizi game za majaribio hazina mbwembwe nyingi.Link jamani tucheck game
AlishasemaUsajili vipi jamani au tutasindikiza ka msimu huu
Perez ana target zake akiwakosa hao basi tusahau kuhusu mchezaji mpya, labda hii ya kuondoka kwa Ramos NA Varane anaweza akasajili CB. mpya japokuwa Ancelotti kuna Dogo mmoja pale Castilla anataka amjumuishe kwenye kikosi, acha mpaka mwisho wa usajili ufike hapo ndipo tutaweza kujua ukweli.AlishasemaView attachment 1869421



