Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Naona kwenye kikosi kinacho anza leo kwenye CB line tuna Varane na Nacho, Ramos hayupo ila kwenye sub kuna Milito

Kwanini Zidane hampangi Militao?
 
Sasa hivi jamaa wanatupigia mpira sijui kama tutamaliza salama na goli letu moja
 
1st goal. Vazquez
1609648228088.gif
 
Huyu Nacho sijui kwa nn huwa anapangwa huyu
Shabiki yyt wa real madrid lazima ataona jinsi nacho anavyokuwa mzito na haendani na kasi ya mchezo na mara nyingi anafanya makosa. Ila kwa jicho la tatu nacho anacheza namba zoote za ulizi kasoro goalkeeping, nacho anapiga full backs ta kulia na kushoto, central back 4 na 5 anaweza kupiga. Defensive mildfield 6 anapiga. Kiufupi nacho ni KIRAKA.
Kila nikitamani auzwe najikuta nacho namkuta yupo pale pale benchi. Naamin ipo siku akistaafu soka la kulipwa atarudi kama mmoja wapo wa technical directors wa los blancos. Miaka aliokaa hapo inatosha dei uno kurudi.
 
Mechi ya juzi Nacho kaupiga mpira mwingi sana utafikiri hakua bench kwa miezi 2
Shabiki yyt wa real madrid lazima ataona jinsi nacho anavyokuwa mzito na haendani na kasi ya mchezo na mara nyingi anafanya makosa. Ila kwa jicho la tatu nacho anacheza namba zoote za ulizi kasoro goalkeeping, nacho anapiga full backs ta kulia na kushoto, central back 4 na 5 anaweza kupiga. Defensive mildfield 6 anapiga. Kiufupi nacho ni KIRAKA.
Kila nikitamani auzwe najikuta nacho namkuta yupo pale pale benchi. Naamin ipo siku akistaafu soka la kulipwa atarudi kama mmoja wapo wa technical directors wa los blancos. Miaka aliokaa hapo inatosha dei uno kurudi.
 
David Alaba anatarajiwa kujiunga na R.Madrid kwa mkataba wa miaka 4.

Ujio wa Alaba ni dalili kwamba Ramos ataondoka kwenda PSG mwisho wa msimu?

Mikataba ya Modric na Lucas V imebakiza miezi 6 kila mmoja.

Ramos bado tunamuhitaji sana, lakini kama anataka akapige pesa za Waarabu kabla ya kustaafu, good luck. Kwasababu ni maisha yake, sisi ni mashabiki tu
 
Ramos hataki kuhama ila anataka mkataba wa miaka 3.

Policy za Madrid zinakataa kumpa mchezaji wa 33+ mkataba wa miaka 2+
Ramos bado tunamuhitaji sana, lakini kama anataka akapige pesa za Waarabu kabla ya kustaafu, good luck. Kwasababu ni maisha yake, sisi ni mashabiki tu
 
Snow inapiga kinoma, na hii inaweza kusababisha hii Game isiwe na mvuto kabisa
 
Back
Top Bottom