Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Zidane must go

Zidane anazingua sana. Kila Copa del Rey anafanya same mistake. Asipokuwa serious atapewa chake aondoke. La Liga nayo ishakuwa ngumu, na champions league ndio kabisa, sijui kama kibarua chake kiko salama
 
Tough luck Madridistas, but we'll finish the season smiling. We always show up when disrespected and underrated.
 
Tujifunze kuita koleo ni koleo na sio kijiko kikubwa mkuu.

Timu yetu kwa sasa ni mbovu, mbovu sana…. Kwenye UCL tukikutana na timu ngumu na hata hawa Atlanta tutapigwa nje-ndani.

Kwa kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba, kwenye mechi 5 zilizopita tumeshinda mechi moja tu.

Tuna option 2,kufanya usajili wa striker mkali au kumufukuza Zidane aondoke.

View attachment 1683625
 
Daah!! Odegaard kasepa tena
Tatizo dogo akipata nafasi haonyeshi makali inavyotakiw . Delivery yake haina madhara makubwa kwa timu pinzani. Itoshe kusema CR7 ni CR7 tuu njinsi alivyoanza sporting hadi man utd na kuja real madrid cr7 amepambana kweli kweli kuuweka mwili wake sawa ili atoe kitu mashabiki wake wanataka. Martin ordegad, vin jr na radrygo kama wameridhika hivi. Hawajifunzi lolote kutoka kweny nots za cr7
 
Yani msimu huu sijui tutaambulia nini aisee! manake muhuni Atletico nae ndo kwanza anazidi kuongeza gepu tu pale juu.
 
Tatizo dogo akipata nafasi haonyeshi makali inavyotakiw . Delivery yake haina madhara makubwa kwa timu pinzani. Itoshe kusema CR7 ni CR7 tuu njinsi alivyoanza sporting hadi man utd na kuja real madrid cr7 amepambana kweli kweli kuuweka mwili wake sawa ili atoe kitu mashabiki wake wanataka. Martin ordegad, vin jr na radrygo kama wameridhika hivi. Hawajifunzi lolote kutoka kweny nots za cr7

Sasa bro unadhan tatizo nn mbona wachezaji wanatoka huko wako moto wakifika pale wanaonekana kuflop. Nimefatilia kuanzia Mariano alikuwa hatar kule lyon, Jovic kule frankfut najuz karudi tu katupia mbili, Odegaard pale sociedad nihatar. Labda mfumo sasa au kocha haeleweki kwa wachezaji.
 
Tujifunze kuita koleo ni koleo na sio kijiko kikubwa mkuu.

Timu yetu kwa sasa ni mbovu, mbovu sana…. Kwenye UCL tukikutana na timu ngumu na hata hawa Atlanta tutapigwa nje-ndani.

Kwa kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba, kwenye mechi 5 zilizopita tumeshinda mechi moja tu.

Tuna option 2,kufanya usajili wa striker mkali au kumufukuza Zidane aondoke.

View attachment 1683625
Ukimfukuza Zizu utamleta nani? team haina wachezaji world class hapo ni kufanya usajiri wa maana basi
 
Sasa bro unadhan tatizo nn mbona wachezaji wanatoka huko wako moto wakifika pale wanaonekana kuflop. Nimefatilia kuanzia Mariano alikuwa hatar kule lyon, Jovic kule frankfut najuz karudi tu katupia mbili, Odegaard pale sociedad nihatar. Labda mfumo sasa au kocha haeleweki kwa wachezaji.
Nakuunga mkono kwenye suala la mfumo. Mfumo wa timu au wa kocha unaweza athiri mchezaji moja kwa moja. Ila nikukumbushe hitaji la real madrid kama club na kama sisi wapenzi ni tofaut na la mashabiki wa lyon ya sasa, frankfurt ya sasa na sociedad ya sasa. Ss tunataka ku chukua ubingwa wao wanafunga na sali waingie group stage au mtoano aiseee.

Odergad akiwa arsenal atawawezesha kuingia group stage europa, akiwa madrid hatusaidii kufika final stage ya UCL.
Apelekwe kwa mkopo au auzwe kwa clause ya kwamba wakimuuza sisi madrid tupewe priority ya kumnunua
 
1st goal. Casemiro
1611472876752.gif
 
Back
Top Bottom