Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,909
Kwa namna hii tutakua na nafasi ngumu sana kwa michuano ijayo
Wachezaji ambao inabidi wawekwe sokoni....
1.Gareth Bale
2.R.James
3.Nacho
4........
5.......
6......
Nacho ni kiraka sijaona replacement yakeWachezaji ambao inabidi wawekwe sokoni....
1.Gareth Bale
2.R.James
3.Nacho
4........
5.......
6......
4. Vasquez
Ni kweli,jamaa anafiti nafasi zote za beki,hajawahi kutuangusha,abakiNacho ni kiraka sijaona replacement yake
Mariano DiazWachezaji ambao inabidi wawekwe sokoni....
1.Gareth Bale
2.R.James
3.Nacho
4........
5.......
6......