niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,657
- 5,409
Pamoja na makosa lakini wala hakufanyiwa sub.Varane 😂😂😂
Pamoja na makosa lakini wala hakufanyiwa sub.Varane 😂😂😂
Ulikuwa na maono mkuuHii mechi hata sijisumbui kuweka bando kutizama. Najua tunatoka tu. Odds zote zipo against us! Nalala zangu mapema
No Ramos No party. Sasa angemwingiza nani badala yake ?Pamoja na makosa lakini wala hakufanyiwa sub.
Tatizo forward.Varane![]()
nmepata mangapi?tukipata goli lingine hapa story ina badilika

Yondani angefaa paleVarane anazinguaaa![]()
Hazard sijui Madrid kapatwa na nini ?Tatizo forward.
Varane hata asingefanya ujinga wake still mngetoka na ushindi wa goli 1.
Timu kubwa ile. Alivyokuwa Chelsea kila mwenzake alikuwa anamuangalia yeye.Hazard sijui Madrid kapatwa na nini ?







Takataka mumepigwa tena..
Angalia leo kitu tunaenda mfanya Bayan
#CFC![]()

acha nicheke tuTakataka mumepigwa tena..
Angalia leo kitu tunaenda mfanya Bayan
#CFC![]()