Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #44,421
Mood
ahaaaa... leo namvulia chupi mume wangu usiku kuchaaaaaaaa
Aiseeahaaaa... leo namvulia chupi mume wangu usiku kuchaaaaaaaa
Aya sa kachezeni mnako chezaga ..maana amna kimbe lingne kwa ajili yenu
Hala Madrid 
Congratulations Madridistas. Off to the CL now. Hasta el final.
Hala madrid.....y nada màs....pongezi kwa madridista wote ulimwenguni.
Huyu mwambaSERGIO RAMOS IS A LIVING LEGEND
La Liga x5
Champions League x4
FIFA Club World Cup x4
Spanish SuperCup x4
UEFA SuperCup x3
Copa del Rey x2
UEFA Euros x2
FIFA World Cup x1
Euros U-19 x1 T
HE GOAT DEFENDER
![]()



Yap hili nenoNa Manchester City wakae wakijua kwamba the game is still on. Na mimi nina uhakika tukiwatoa City, huko mbele mbele itakuwa balaa tupu.